FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Waliamini kwamba kuweka mechi za kirafiki LIVE itaondoa ladha na hamu ya mashabiki kujaza uwanja siku ya utambulisho wa wachezaji wapya na staili ya uchezaji, Lakini Yanga imerusha mechi zake zote za kirafiki LIVE, wamebeba kombe lenye thamani ya Bilioni 3 na bado wananchi hawajapoteza hamu kuhudhuria tamasha la wananchi, kama unavyojionea uwanja umetapika mpaka wengine wanatumia uwanja wa uhuru 🙌


Hii tunaitaje kitaalam?

GUIuUk4XwAA2Zc3.jpeg
 

Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.

Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka . Tamasha linaboa mbaya mno kongole wenzetu Simba
 
Back
Top Bottom