FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Nyuzi za Yanga zikianzishwa na mleta mada huwa zinaishia pabaya. Hivi wewe jamaa kwani lazima kuanzisha nyuzi za Yanga mfyuuuuu zako unaboa
 
Tumpe tu hiki cheo, anajitahidi saa sita kamili imkute macho......possible anaweka alam
Sio mbaya ila changamoto ni anapost na kupotea mazima, kwasababu kuna wadau humu huwa wanapenda kuzisemea timu zao kwa njia ya maandishi.

Hawa Utopolo Vincenzo Jr na Joseverest na kina kiwatengu huwa wanakaa kutetea maslai yenu mwanzo mwisho.

Na hata huu upande wa Mabingwa, Simba Mnyama atakayewararua 8.8.24!
Tupo tunaotaka kusema kwa kuandika.

Sasa yeye anataka kuandika kupost kotekote, raha ya jukwaa hili litembee kishabiki.

Au aseme yeye ni mwandishi anayelipwa na jf 🀣🀣🀣.

Anyway 😜 jana umeona moto wetu, vikelele mmepunguza sasa.

Jana nilisema, Msiogope tutawafunga na hatutaweka mabango popote!!
 
Naunga mkono hoja kaka
 
Leo ndio tunaenda kuangalia timu ambayo ndio Kipimo Cha timu zote Africa kwa sasa, Kabla ujacheza na yanga utaonekana una timu nzuri, ukishacheza na yanga utaonekana mbovu na waliokusifia wataanza kuleta sababu nyingi, yanga ni sawa na Kipimo Cha MRI itakuonyesha panapovuja!
 
Mbona mnajichagulia team mbovu mbovu... Simba jana kajitwalia kilema, leo tena kiwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…