HahahaLeo ni li hamonize
Kwani lazima kufananaHakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja
Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.
Mtu huyo anaweza asiamini.
Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
Comrade, kama vipi uende tu ukalale! Au angalia tamthilia ya Kituruki. Hayo mambo ya Wananchi, wewe waachie wenyewe.Hakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja
Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.
Mtu huyo anaweza asiamini.
Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
😅😅😅😅Bangii imezidiii leoo ndugu yetu...wengi uwanjani hawajavuta afu wanaendeshwa na alovutaa hahahaa.
Saa 4 usikuHivi mechi inachezwa saa ngapi?
AjahhahahahqhahYanga wanavuta muda wafanye yao kama kawaida .. Tutegemee connection safi na yenye ubora
Nilale muda huu kwani mi Aucho?Comrade, kama vipi uende tu ukalale! Au angalia tamthilia ya Kituruki. Hayo mambo ya Wananchi, wewe waachie wenyewe.
Atupishe kidogo
Acheni msitake tufananeAhmedy Ally jana alichinja peke yake bila kuwepo mshika pembe.
Leo kuna nyomi la watu wote wameshika mic na wote wanafanya kazi moja, mmoja anataja jina la kwanza mwingine anamalizia la pili, huyu mwingine anataja sifa zake.
Haya mambo nilikuwa nayasikia kwa Juma Khan sikuwahi kufikiria kuwa kwenye aspects ya soka mambo haya yapo.