FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja

Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.

Mtu huyo anaweza asiamini.

Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
Kwani lazima kufanana
 
Comrade, kama vipi uende tu ukalale! Au angalia tamthilia ya Kituruki. Hayo mambo ya Wananchi, wewe waachie wenyewe.
 
Benchi la ufundi limeanza kutambulishwa likiongozwa na kocha mkuu Miguel Gamondi
 
Ahmedy Ally jana alichinja peke yake bila kuwepo mshika pembe.

Leo kuna nyomi la watu wote wameshika mic na wote wanafanya kazi moja, mmoja anataja jina la kwanza mwingine anamalizia la pili, huyu mwingine anataja sifa zake.

Haya mambo nilikuwa nayasikia kwa Juma Khan sikuwahi kufikiria kuwa kwenye aspects ya soka mambo haya yapo.
 
Nahodha wa Yanga Mwamnyeto katambulishwa uwanjani
 
Wamepoteza muda mrefu kwa wasanii uchwara waliokuwa wanapiga kelele tuu. Sasa wanaanza kukimbizana na muda mpaka wanasahau protocol ya kutambulisha viongozi
 
Ahmedy Ally jana alichinja peke yake bila kuwepo mshika pembe.

Leo kuna nyomi la watu wote wameshika mic na wote wanafanya kazi moja, mmoja anataja jina la kwanza mwingine anamalizia la pili, huyu mwingine anataja sifa zake.

Haya mambo nilikuwa nayasikia kwa Juma Khan sikuwahi kufikiria kuwa kwenye aspects ya soka mambo haya yapo.
Acheni msitake tufanane
 
Back
Top Bottom