FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Wewe huyo mtoto unamuona kweli? Ni aibu watu wapo jukwaani halafu camera inamuonyesha mtoto anachezea simu na anaongea na simu
Kwanini asingekaa kwa chini ambapo camera haimuonyeshi anafanya hayo mambo ya aibu?

Hili ni tamasha kubwa watu wamelipa hela zao upuuzi ungeekwa pembeni

Hili ni tamasha baya kuliko yote, baadhi ya watu wamelichafua ni kama vile Yanga hawajajipanga.
 
Philip Mpango Makamu wa Rais wa JMT ameamua kushuka jukwaa kuu
 
Acha ku over react bhana. Hayo mambo ya kawaida kabisa sijui kwa nini hii kitu inakuuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…