FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FB_IMG_1722791279740.jpg
 
Simba isingekuwa tawi la CCM msingemchukuwa Waziri wa mambo ya Ndani Mh. Masauni kuwa Mgeni Rasmi

Na Mashabiki na Viongozi wa Simba ndio waliomsifia sana Mama Samia jana ambaye ni Mwenyekiti wa CCM TAIFA
Hizi timu zote mbili ni mradi wa CCM kuwapumbaza watanzania wasiwehoji mambo ya maana kutwa kucha ni kuchambana tu Yanga na Simba. Wtw ni pipa na mfuniko wake.
 
Hii live ya Samia inatoa Boko sasa hivi
 
Back
Top Bottom