Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
😂😂😂😂😂😂Sasa tujiunge na wenzetu waliopo kizimkazi, kukuletea matangazo ya moja kwa moja🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂Sasa tujiunge na wenzetu waliopo kizimkazi, kukuletea matangazo ya moja kwa moja🤣🤣
Magoma jana alionekana na kavaa SandaAkimaliza huyo mumpigie na Magoma awa bless
Nilijua tu 🤣🤣🤣🤣🤣😔Hii live ya Samia inatoa Boko sasa hivi
Kinachoendelea ni zaidi ya komedi.Ila bongo ukifa kwa stress umependa🤣🤣
wanatumis use sanaMimi hapa tu ndio panapokera. Shughulia michezo inageuzwa na kisiasa
Kwani ni siri? Mbona bungeni walikuwa wanachomekea kwenye hotuba zao, wakati huo akiwa Waziri, Ndugai akaipongeza Simba, Mpango akaipongeza Yanga kwenye hotuba ya bajeti.Mama Samia katoa Siri kumbe mpango NI yanga lialia 🤣🤣🤣
Tulia wewe hujui tupo kwenye season ganiMimi hapa tu ndio panapokera. Shughulia michezo inageuzwa na kisiasa
Poor poor poorHawa Utopolo organaizesheni sifuri kabisa.