FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Wananchi washalala kitambo hawana habarii
 
Makamu wa Rais anakabidhiwa kadi ya uanachama wa Yanga
 
Mama Samia katoa Siri kumbe mpango NI yanga lialia 🀣🀣🀣
Kwani ni siri? Mbona bungeni walikuwa wanachomekea kwenye hotuba zao, wakati huo akiwa Waziri, Ndugai akaipongeza Simba, Mpango akaipongeza Yanga kwenye hotuba ya bajeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…