Yeah uko sahihi mpango ni yanga ndio maana yupo cool sanaKwani ni siri? Mbona bungeni walikuwa wanachomekea kwenye hotuba zao, wakati huo akiwa Waziri, Ndugai akaipongeza Simba, Mpango akaipongeza Yanga kwenye hotuba ya bajeti.
Utopolo mwingi sana! Wasubiri tar 8 ndo watajua kuwa hawajui! Matokeo yao na Kaizer Chiefs yanawadanganya sana!!Utoto mwingi siyo poa...
Bora Kamwe angepewa nafasi yake...Haji sifa nyingi hadi anaboa..
Kama unawahi kimbia mzeee hakuna aliekushika mguuuYanga jifunzeni kutunza muda aisee
Unataka mambo yafanane kwani izi ni sherehe mojaMuda kama huu Bruno Fenandez alikuwa kashatunyanyua makwapa
Upande wa pili ndio kwanza wapo kwenye kuchati
Wataibiwa sana leoWatu wa daslam usafiri ulivyo wa shida leo mtakoma