FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hako ka DJ mbona kana chuchu nzuri namna hiyo😍😍🤠🤠😈
 
Naona bus limeingia muda si mrefu likifuatiwa na VP. ila kwa mida hii naona kama wamechelewa sana
Kwa wapenda muziki watakuwa wameburudika vya kutosha. Sisi wengine tunawaangalia tu.
##NguvuMoja
 
Asubuhi mpaka jioni ni simba na yanga
Taifa limejaa matahira hili. Hoi energy mnayoweka kufatilia mamipira ya bongo mngeweka kwenye kufanya Innovations na ku movies civic engagements tungekuwa mbali sana.
 
Zitoke wapi uliona picha kama izo kwenye uzi wao? 🤣🤣🤣
c75e3e4f-a370-4392-9472-c868036ba637.jpeg
 
Asubuhi mpaka jioni ni simba na yanga
Taifa limejaa matahira hili. Hoi energy mnayoweka kufatilia mamipira ya bongo mngeweka kwenye kufanya Innovations na ku movies civic engagements tungekuwa mbali sana.
Basi waingereza wangeanza kua mbali.. mbipi wewe
 
Back
Top Bottom