FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Kwani nani aliyetambulisha wachezaji leo?
 
Sherehe imedoda hakuna mpangilio wa mambo,muda umeenda tuone mpira sasa
Yn huyo mc sijui anafanya kaz gan. Watu wanaingia ingia tu hta hatambulishi unastukia tu msanii uyuu oh mara timu hyoo uwanjani khaa 😂😂
 
Tiketi tulikua tunapewa mda wa kunywa supu nyie mlio baki nje na tiketi zenu mtajijua wenyewe
 
Mnataka kusema saa moja hii bado wachezaji hawajatambulishwa? Niliwaambia huu utakuwa msimu mgumu sana
 
Ila huyu mjomba NCHUMALI ni muandishi mzuri sana na ana melody kali, haka kangoma ka UTOPOLO kametulia, sisi kule yule ALI KIBAkuli kashindwa kutoa ngoma mpya, anasingizia ya mwaka jana ni kali, kumbe anaogopa atatoa boko 😄 🤣

Ila bado nasubiri tamasha liishe nipate connection za kina mama J wapya.. watani hamjambo kwenye kuigiza X 😄 🤣
 
Kaka unaweza kumchamba mtu hadi akafa🙌
 
Mjomba nchumali angepunguza mwili, kawa kama kiroba cha mchanga wa beach 😄 🤣

Angekuwa kuku au mbuzi kwa jinsi alivyonona krismas,idd au akija mgeni wa heshima hatoboi 😄 🤣
 
Saa moja hii hapa hakuna dalili ya kutambulisha wala kucheza
 
Back
Top Bottom