FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Ila huyu mjomba NCHUMALI ni muandishi mzuri sana na ana melody kali, haka kangoma ka UTOPOLO kametulia, sisi kule yule ALI KIBAkuli kashindwa kutoa ngoma mpya, anasingizia ya mwaka jana ni kali, kumbe anaogopa atatoa boko 😄 🤣

Ila bado nasubiri tamasha liishe nipate connection za kina mama J wapya.. watani hamjambo kwenye kuigiza X 😄 🤣
Umenikumbusha mbali sana .. Mama J wa Yanga
 
Mjomba nchumali angepunguza mwili, kawa kama kiroba cha mchanga wa beach 😄 🤣

Angekuwa kuku au mbuzi kwa jinsi alivyonona krismas,idd au akija mgeni wa heshima hatoboi 😄 🤣
Tafta ela mzee acha ale ela zake unampangia mwili wake
 
Back
Top Bottom