Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Umenikumbusha mbali sana .. Mama J wa YangaIla huyu mjomba NCHUMALI ni muandishi mzuri sana na ana melody kali, haka kangoma ka UTOPOLO kametulia, sisi kule yule ALI KIBAkuli kashindwa kutoa ngoma mpya, anasingizia ya mwaka jana ni kali, kumbe anaogopa atatoa boko 😄 🤣
Ila bado nasubiri tamasha liishe nipate connection za kina mama J wapya.. watani hamjambo kwenye kuigiza X 😄 🤣