FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Zimesalia dakika nne muda uliopangwa game ianze
 
Analeta giza! Shughuli kama hizi ziheshimiwe sio za kifamilia
Amekaa hapo anachezea tu simu
Ndugu yangu hayo ni mambo ya wadhifa. Muhimu na sio mbaya kwa watu wa familia kushuhudia na kuwa karibu na matukio kama haya. Kwako inaweza kuwa kama haina maana ila kwa baba na mtoto au na mama ina maana kubwa sana.

Kwangu sioni shida muhimu inatengenezwa bond kati ya mtoto na kazi ya baba
 
Back
Top Bottom