FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Yaani huyu Pacome yaani hili bonanza anacheza hivi, halafu bado kuna Dube......... nyie.Jana kuna watu hata ukiwauliza walikiwa wanacheza mfumo gani hawajui,muunganiko hamna....... tupo hapa.Wanatupigia kelele humu ,nyie jidanganyeni na hili bonanza maana sijui safari nani atapewa mzigo wa lawama wa kuitwa duka.
 
Kikosi kipana huja ja madhara yake. Kocha inatakiwa aweke full mkoko uliokuwa unashinda na kutwaa ubingwa. Hii rotation itamsumbua sana siku za usoni. Kama unataka ushindi never change a winning team
 
Yaani huyu Pacome yaani hili bonanza anacheza hivi, halafu bado kuna Dube......... nyie.Jana kuna watu hata ukiwauliza walikiwa wanacheza mfumo gani hawajui,muunganiko hamna....... tupo hapa.Wanatupigia kelele humu ,nyie jidanganyeni maana sijui safari nani atapewa mzigo wa lawama wa kuitwa duka.
Uwanjani wanaingia 11, mchague kabisa wa kuanza tarehe 8
 
Back
Top Bottom