uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Tutakuwa hapa.Uzuri ni kesho kutwa tu
Kazi yetu ni kupiga kwenye mshono tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwa hapa.Uzuri ni kesho kutwa tu
Hakuna dalili, nawaonea huruma Mashabiki walioko uwanjaniGame tunashinda hii ni suala la muda
SawaaTutakuwa hapa.
Kazi yetu ni kupiga kwenye mshono tu.
Ni suala la muda mtaniHakuna dalili, nawaonea huruma Mashabiki walioko uwanjani
Bado hujasema,, Red, White & blue ni rangi barikiwaRed arrow washenzi wameona wavae kama simba? Ngoja tuwafunge sasa
Green & Yellow. Rangi ya taifaBado hujasema,, Red, White & blue ni rangi barikiwa
Ushubwada 😁Green & Yellow. Rangi ya taifa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥Ushubwada 😁
Vaa suti ya njano tukuone
navyowajua utoz watasusa tarehe 8 watataka wabembelezwe waingie bure.Ngwenya kawaonea huruma pale
Kimewalamba mapema 😂Harmonizer leo nilimsikia anaimba...
""Ujana una mengi na mengi nimeshafanya....KIKOWAPI"""
ANAITIKIA ANASEMA KIKOWAPI.... ANAMALIZIA KWA KUSEMA YOUNG AFRICA KIKOWAPI..