FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Simba ni mbovu kwa yanga lkn mechi itakua na siasa sana, kutokana na matokeo yaliyopita kwa simba 1-5 na mtani wake na mpinzan wake mkuu, nbc pl yanga, wanasimba wanataka kulipa kisasi, kwa ushindi tu wowote, licha ya hivyo itakua mechi ya kibabe sana, na kwa utabili waangu maajabu yapo tena na leo mechi hii, haijulikani itakua kwa nani?
 
Sasa kama alijua haitapaa kwa nn alipanda?

Professional nae ni wamchongo tu.

Yanga piga simba hiyo.
 
Siku ukiona sehemu ulinzi umeimarishwa nawahakikishia hakuna usalama pale, kaa mbali shuhudia tukio
Nakubaliana na wewe. Kitendo cha mashabiki wa timu moja kutishia viongozi wao Kwa matokeo ya mechi moja kinatia shaka uwezo wao wa kishabiki. Ni kweli Simba imetetereka siku hizi lakini Kwa nini hawakuwa na uchungu Mechi Tatu/nne zilizopita wanasubiri Hali imekuwa mbaya zaidi ndo wanatoa vitisho? Ina maana timu ikishinda Leo ndo inakuwa Bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…