Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
π€£ππππππHuyu dada kajiunga na miso Misondo Sengeli Choir kama mnengiaji wa kike.
Na ubaya hawatoi updates kwa wakati, wanakua wamezama kwenye mechi wanashindwa kucover typing na mahaba yao kwenye mechi.Ni upuuzi tu
Haya! pressure imekuwa optimum sasaHoma ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.
Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?
Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Let's Goooooo!!
Wahuni AzamHivi hiyo biloko ya kolia maana yake nini??
Yaani nacheka lakini sijui kinachonichekesha ni furaha au Huzuni.πππNaitakia usindi Simba sc..
Simba nguvu moja..
Simba 3 yanga 1
Mechi inaanza saa 11 jioni na sio saa moja usiku.. REKEBISHAHoma ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.
Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?
Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Let's Goooooo!!
Bahati haiji mara mbili mzeeYaani nacheka lakini sijui kinachonichekesha ni furaha au Huzuni.πππ
ChakulaHivi hiyo biloko ya kolia maana yake nini??
Uchambuzi bora wa soka la watani wa jadi leo 20/04/2024 ukiwa huna hata chembe ya mahaba wala ushabiki maandazi "non alignment"Simba ni mbovu kwa yanga lkn mechi itakua na siasa sana, kutokana na matokeo yaliyopita kwa simba 1-5 na mtani wake na mpinzan wake mkuu, nbc pl yanga, wanasimba wanataka kulipa kisasi, kwa ushindi tu wowote, licha ya hivyo itakua mechi ya kibabe sana, na kwa utabili waangu maajabu yapo tena na leo mechi hii, haijulikani itakua kwa nani?
Acha kuwa Msemaji Kiherehere wetu Wananchi, lini Washabiki wa Yanga tulidharau Derby tukaingia na matokeo yetu mifukoni zaidi ya huko ukolokoloni tu?Hii game Γ±aona yanga wanaenda na matokeo yao mfukoni... Hayaaaa.....[emoji28]
FafanuaSiku ukiona sehemu ulinzi umeimarishwa nawahakikishia hakuna usalama pale, kaa mbali shuhudia tukio