FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Mimi huwa ni mnyoofu katika thread zangu. Nimeongelea tukio la kweli na si ushabiki. Na si mara ya Kwanza namsema Chama maana ni mchezaji ninayemkubali Sana. Hebu fikiria Simba wangecheza pungufu tangu dakika ya 57 nini kingewapata Jana?
Bado tu hamkui kimpira kwamba kuongoza kwa ball possession, shots on target, pass accuracy na conners si vigezo vya timu yoyote kushinda mechi?
Techniques, Tactics, Winning mentalities havinaga kazi kabisa kushinda mechi?
17/04/2024 Man City VS Real Madrid ilikuwaje matokeo na nani alifungishwa virago?

Poleni sana Ndugu zangu Makolokolo [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…