Dooh!!Kulikuwa cha maandalizi ya msimu ujao.
Mashabiki Wa Young Africans Tunatakiwa Kuamka Saa Ngapi Mtani?Niko tena winza winzaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Apiia. πMo hajawahi ingia uwanjani, angezirudisha
π€Napokea salamu zangu kwa moyo wote
Hahahaaa. Kama ni hivyo hapo mission yake imekuwa accomplished. ππaliwahamasisha sana wajitahidi goli zisizidi nne (4)
alijua wanapigwa ila juu chini zisizidi nne
Tumeshawazowea Swahiba. πmakolo wana hasira balaa π
Mi nimeamka zangu saa tano na nusu. π€£Mashabiki Wa Young Africans Tunatakiwa Kuamka Saa Ngapi Mtani?
Bebe hajanywa chai leo kwa hiyo?Mi nimeamka zangu saa tano na nusu. π€£
π€£ halafu wakifanya vibaya wanamlaumu mangungu wakifanya vzr wanamsifia mo πTumeshawazowea Swahiba. π
Hali si shwari jahazi linazamaπππ nilishatulia Mtani.
Vipi hali yako Mtani?
Kesho Jumatatu Nimesikia Kuna Mapumziko Kwa Young Africans WoteMi nimeamka zangu saa tano na nusu. π€£
Mi mmoja wapo leo nimelala tu home. πKesho Jumatatu Nimesikia Kuna Mapumziko Kwa Young Africans Wote
Kabisa Mtani mnahitaji utulivu mno ili msiwavuruge viongozi mambo yakaharibika zaidi.Hali si shwari jahazi linazama
Hao ndo mbumbumbu sa. πππ€£ halafu wakifanya vibaya wanamlaumu mangungu wakifanya vzr wanamsifia mo π
Hahahaa. LolBebe hajanywa chai leo kwa hiyo?
Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Simba ikitulia Yanga panawaka,Yanga pakitulia Simba panawaka. Dunia duaraKabisa Mtani mnahitaji utulivu mno ili msiwavuruge viongozi mambo yakaharibika zaidi.
Poleni.
Ilikuwa zamani hiyo Mtani.Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Simba ikitulia Yanga panawaka,Yanga pakitulia Simba panawaka. Dunia duara