FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Yaani we acha Tuu, Nikakuta TBC wanafanya Uchambuzi, Tena wamesema Mubadhara, Si nikasema mambo si ndio hayo, Hee inakaribia Muda wa Mpira kuanza, Wanasema Tumefikia Ukingoni mwa Kipindi chetu. Nimechoka,

TBC hawana haki za matangazo ya TV kwa ligi kuu, wana haki kwenye matangazo ya redio tu...
 
Mabeki tegemeo wote wanasepaa njee.
Lomalisa wa Yanga, na Inonga wa Simba.

Sina imani tenaa hapaa, khaaaah
 
😂
 

Attachments

  • Screenshot_20240414-094415_121246~2.jpg
    Screenshot_20240414-094415_121246~2.jpg
    58.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom