Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Huyu gamondi huwa anamfanya Nini mzize,mtu hajui mpira Ila ana mahaba nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu ushaisha kwetu wanasimba na umeisha vibaya.Offside gani ile Goli la wazi kabisa..
Sasa Unamuacha Mchezaji kwenye Open Ili akavunge?
Hii simba Wachezaji ndyo Wase** Bora angekuwepo Inonga aisee
😂😂😂😂 na ndio kwanza kipindi cha kwanza.😀punguza makasiriko mkuu
4 tuAibu hii kuna harufu ya sita leo
Atakuja kumpita Hadi yule mwenye magoli mengi pale ukoloniOooh Guede mbovu kiko wapi
Acha kichekesha kijiwe mkuu leo tuna hali mbayaNipo na mtu wa Tff hapa najua kila kitu usibishe.Mpango uliopo ni Yanga achukue ubingwa mara 5 mfululizo kuvunja rekodi ya Simba ya mara 4
4 + tu = 6. 😂😂😂😂4 tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masandawanaa walikata ngebee zotee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu oyoooooo!! Leo ni mwendo wa chwaah chwaah mpk mseme tumetosheka Ahsante
Kwa ushauri kipindi cha pili wasirudi uwanjaniAtakuja kumpita Hadi yule mwenye magoli mengi pale ukoloni
Hapana wangeacha mabifu yao ya Kijinga kati ya Try Again,Mangungu na Mo simba ingeenda mbeleMsimu umekuwa mbaya huu.
Heelllou habari, hujambo, haaaaaiiii,nakusamilia 👋[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatafuta furahaa kwa nguvuu uduguu, watu tuko buzzy na Semi final CAFCL. Woiiiiiiiiih