FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Hii mechi tumeidharau mapema tunakamilisha ratiba tu mimi hata roho haiumi
 
Nipo na brother angu na ndugu zangu kadhaa wote Ni washabiki wa Simba vs shemeji zangu na family friends kadhaa Wana YANGA

Kwakwel wanasimba tupo kinyonge Sanaa 😊

Na kila nikitizama sioni mbele Ni Giza sidhani Kama tunaweza ku equalizer

Pale mbele hatuna watu kwa kweli ntibazonkinza amezeeka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu oyoooooo!! Leo ni mwendo wa chwaah chwaah mpk mseme tumetosheka Ahsante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masandawanaa walikata ngebee zotee.
Hayo mengine ni yenuuu, hayatuhusuu.
 
Ni huzuni
 

Attachments

  • IMG_6806.jpeg
    IMG_6806.jpeg
    521.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom