Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msife tutakosa wa kuwatania. 🤣Mimi Ni Simba Ila Hii Yanga Inaweza Kutuua Sisi Mashabiki Wa Simba
Huu mwandiko naujua!Nadaiwa promise hukuu😩
View attachment 2969275
Una uhakika na unacho kinenaNgoma ya Mtoto haikeshiiiiii makoloo🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒!
Kipindi cha pili mtanyeshewa mvuaaaaa💚💚💚💚💚💛💪💪💪💪!
Cc Smart911
Nikubebe kwenye baiskeliAcha bhasi 🤭
Ninavyopenda vitu vya kijinga kijinga km zawadi sasa jomooonii 🤦♀️🤭
Huyo mzeeNawaza tu hapa akiingia na Augustine Okrah!!
Kuliko Saidoo!!Huyo mzee
Mnong'onezeee mwambie asije zidisha dozi (pombe) ikamletea shida maana pombe sio chai..Kuna jamaa hapa kaongeza chupa 5 za beer na konyagi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ktk Derby zote, hii haijanistua kabisaa.Kwa jinsi unavyohaha dawa ni muhimu Mtani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi ubongo wako una ram ndogo sana[emoji23]Mnawezaje kuangalia mpira huku mnachat humu? Mimi nilishashindwa concentration yangu iko juu. Tukutane baada ya halftime yaan Fulltime.