FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Mnawezaje kuangalia mpira huku mnachat humu? Mimi nilishashindwa concentration yangu iko juu. Tukutane baada ya halftime yaan Fulltime.
 
Kwa jinsi unavyohaha dawa ni muhimu Mtani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ktk Derby zote, hii haijanistua kabisaa.
Nilishakuambia simba ikitolewa CAFCL bas na mie had mwakaniii.
 
Back
Top Bottom