FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Naona kocha wa Simba SC ameidharau hii game, wacha nami niidharau pia.

Ameamua kuwafanya na wachezaji wengine wajiamini pia kwa kuwaanzisha leo, jamaa zangu naona full mkoko!.
Nadhani hiyo itakuwa ni kazi ya Matola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…