Mimi bado nalia na uwepo wa Mwenda , na kam Yanga Sc watasawazisha badi kuna uwezekano mkubwa ikawa ni upande wa Mwenda.Semeni offside ila sisi tishawaweeka
Haya wakosoa kikosii mrudiiii sasa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Leo chama wamoto sanaKuna kitu nilikuwa sijui, kumbe kuwa na Chama kwenye timu kuna maana kubwa sana.
Jamaa anawafanya waliomzunguka wawe wazuri pia, aisee Chama sio mtu mzuri...
Wameenda chooni kukata gogo 😂Semeni offside ila sisi tishawaweeka
Haya wakosoa kikosii mrudiiii sasa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Kitalaamu inaitwa PANIC BUY au POLITICAL BUY.Aziz ki was mchongo..
nipo room nimesikia kelele nje nikajua goli kumbe watu wanashangilia InongaTukiacha ushabiki wa kijinga Inonga ni beki la maana.