Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hamna player pale, walimsajili kwa bei kubwa ila ni debe tupu.Namuona funguo kama anambwelambwela
Hata kama atafunga au vinginevyo ila kimoyomoyo kila shabiki wa Yanga anajua kuwa ule usajili walipigwa.