FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Namuona funguo kama anambwelambwela
Hamna player pale, walimsajili kwa bei kubwa ila ni debe tupu.


Hata kama atafunga au vinginevyo ila kimoyomoyo kila shabiki wa Yanga anajua kuwa ule usajili walipigwa.
 
Yanga mbovu ina mbwelambwela.
Mashabiki wa Yanga si mhamie timu nyingine. Mnateseka sana na timu yenu ya kama mchangani.
 
Mdaka mishale alikutana na hii akaona isiwe tabu
giphy.gif
 
Mwalimu anajua anachofanya aisee. Amemuona Isra ana kitu so mwacheni
 
na mwenda Anaweza kua anajituma sana lakini anakosa experience anaogopa na anakua na kitete tunaposhambuliwa, anaweza kua anapambana lakini hana experience ya kapombe
 
Back
Top Bottom