Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Rafu zimeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana waligomea kubadili logo kuwatoa wale mabondia kumbe walikuwa na lengo laoSasa yanga ngumi za nini tena jamani uwanjani?
Huyu Enock Inonga atakuja kuumiza wenzake! Sifa zimezidi. Utafikiri anacheza judo bhana!Rafu zimeanza
Sasa yanga ngumi za nini tena jamani uwanjani?
Tuna marefa wasenge sana nchi hiiInonga kacheza rafu mbaya sana
Duh umetisha mkuuJoyce wowowoo Leo hachezi
ule ni upuuzi,una risk timu na njanoInonga amekua fala sana, sifa kibao Mimi ni mwanasimba lakini ule aliocheza ni upuuuzi
Na huyo refa wenu jinga.....inonga anapewa njano ya nini? Kwani mieleka hiyo?Sasa yanga ngumi za nini tena jamani uwanjani?
kwamba hakutakiwa kupewa kabisa, au?Na huyo refa wenu jinga.....inonga anapewa njano ya nini?
Wamepanick sn looh, hlf km utopolo wamesusa hiv naona wanaondoka uwanjani wkt mechi badowanakung'utwa mpaka Wamepaniki