FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Ni mara ya pili tena Enock Inonga anajatlribu kufanya faulo ambayo sio ya kimichezo.
  • Mwanzoni kafanya kwa Fei Toto
  • Halafu kafanya tena kwa Sure Boy

Laiti kama mwamuzi angekuwa makini alistahili kupewa kadi nyekundu [emoji837].
Hii ni ligi ya bongo maamuzi anayo mwamuzi [emoji3][emoji16]
 
Ila huyu Inonga aache sifa za kijinga anaweza kutucost game kubwa kama zile za CAF.

Binafsi nalaumu sisi mashabiki, tunashangilia mchezaji akifanya mambo ya kipuuzi yasiyo na faida kwa timu.
Ni fala sana huyu mchezaji. Ni mchezaji mzuri ila anapenda sifa za kijinga za kucheza na jukwaa.
 
Back
Top Bottom