Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Yanga wanarudisha very soon
unawachonganisha na mashabikiNimewaona manara+bumbuli wanachekea huku
Nakubali hasa, hii ni political buy ili injinia wa mandonga ashinde urais, baada ya kushika maskio ya mazuzu...Kitalaamu inaitwa PANIC BUY au POLITICAL BUY.
Umesema ukweli na wote wanapitia hapo, kuna kujituma na experience, kapombe anayo experienceMimi bado nalia na uwepo wa Mwenda , na kam Yanga Sc watasawazisha badi kuna uwezekano mkubwa ikawa ni upande wa Mwenda.
Kikosi cha pili kinawatesa utopolo, leo tumeamua rasmi kuwaonesha wao sio level yetu ndio maana CAF hawawapi mialiko, waache kelele zao.Huu Uzi Ni wawanasimba tu
Acha tu Mkuu, bila wachezaji kujitoa Mara mbili ni ngumu simba kushinda, na yanga wakifungwa na hicho kikosi wafukuze kocha