Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Kalewa pombe kama jina lakeYes chama asingetolewa, jmn kwani kapombe anaumwa????
Ila hawa jamaa wanachonga! We acha tu. Tulivyofungwa na Vipers, walichonga humu mpaka basi. Matusi, kejeli, dhihaka, na akila aina ya maneni machafu waliyasema.Kikosi kipana. Kiwango cha CAF. Wazee wa Super Cup.
Atamalizaje mpira wakati dakika hazijaisha?maliza mpira refa
Mzungu wenu imekuaje tena πWanasimba tupo pamoja #GuyuMoya#GuvuMoja
Mno mnoπππππWeekend taaaamuuu
Nyie mlileta nini?Yanga walileta full squas