FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Simba wachezaji wanaotakiwa kupewa namba ni
Manula ,Kakolanya ,Inonga ,Ottara ,Kapombe ,Shabalala ,Oyango , Chama ,Okra ,Okwa , Phiri,Sakho ,Kibu ,Akpan,Mkude .

Kama wachezaji wazuri wote hao kocha anashindwa kuwapanga basi ni kilaza.

Leo Akpan alipaswa kuanza kabla ya Kanoute kwasababu Kanoute hajawa na Timu kwa Muda Mrefu. Ngoja tuone Ligi ikianza tutajua lakini asije leta huu Ujinga kwenye CAF
 
Imagine nyie mnatumia nguvu zenu alafu wenzenu wameingia vikosi viwili pamoja na kundi la fisi hata ivo tumejitahid sana hii mechi kwa sis wenye macho ya rohoni haikua mechi ilikua ni vita
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu tunayo ttzo upangaji wa kikosi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaah!!!.
ukiacha refa kuwabeba Uto sub ya kocha wetu imetucost,Mzamiru amejiishia kitambo mno sijui ameongezwa mkataba kwaajili gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…