FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Kipindi cha kwanza Simba inaongoza goli moja na ball possession, Kocha akaona msinitanie...akamtoa Chama nje basi roho yake ikawa kwatu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
 
Mkuuu nakukubali sana wewe ni mgwana sana, Tujifunze kwako niseme tu timeshinda kwa mbinu ya kocha Nabi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusi chindu wenga, ndondokela tyuuh.
NLETE NDHUNGUU..!! NLETE NDHUNGUU..!! NLETE NDHUNGUU..!! NLETE NDHUNGUU..!! NDONDOKELA IHUMI KWOKHII??
 
Na dalili ya kwamba hamna kitu mle angalia mzungu aliyemleta. Tizama hata sub zake! Hajui hata mtu kama chama anafanya nini uwanjani kuunganisha timu. Kiufupi simba mwaka huu tena imepigwa na kitu kizito.
Hivi nyie viongozi wa simba mtatoa excuse gani yanga anatudunda mara mbili mfululizo kama underdogs
HUU NI UPUMBAVU NA HAUVUMILIKI.
 
Ki uhalisia ukiona first eleven ya Simba na Yanga unaweza kutabiri matokeo
hiyo nayo ni hoja lakini huyu bwana ramli zake kuhusu matokea hajaanza kwenye uzi huu hapo kapigilia msumari utabiri wake


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…