FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii


Kwamba Yanga wanawabahatisha kila siku? kwanini isifikie hatua mkubali Yanga wamewazidi na mjue mapungufu yenu mfanyie kazi na sio kukaa kujiona bora huku mkikutana mnapigwa
 
Hawa Makolo wana ujinga mwingi sana
 
Usajili Mzuri upande gani? Simba hata msimu uliopita matatizo ni yale yale
 
Mliposhinda kwenye bonanza hizi ngonjera hatukuziona,nyuzi zilijaa tele hapa JF mkisifu na kuabudu kana kwamba mmeotea dhahabu uchochoroni!.

Huu ni mwanzo tu Makolo nyie,mtapata taabu sana![emoji2][emoji2]
Haya majamaa ni mambumbumbu kama Rage alivosema. Kuna watu humu baada ya mechi na wahabeshi waliandika madhaifu ya timu lao ila walitukanwa nakebehi juu. Ila sasa yanaongea yaleyale yaliyoambiwa yakaanza kutukana. Nini shida nyie mbumbumbu?
 
Wachezaji wa kibongo sijui wanashida gani aisee yaani mttu hata kutuliza mpira ni shida.
 
Kabisaa, washabiki wa simba Wana kelele mpaka wanaboa.
Kisa kucheza robo fainali basi hatuna Amani, hawajui kua ni upepo tu umewapitia ila hawana utofauti mkubwa na yanga
Bora Leo tulivyowashona midomo
 
Tatizo lako wewe shoga unaongea sana
Mimi kuongea sana kwa hiyo ndio nishakua shoga sasa sindio?

Kuna sababu nyingine nje na hapa ambayo mimi nilishawahi kukukosea au ni huu huu mpira tu?

Haya wacha nikuache na furaha yako uliyoipata baada ya ushindi japo lugha unayotumia kufurahia ushindi huo sio nzuri kwangu na hata kwa Yanga wenzako walio staarabika

Upo wewe na kuna huyu Matola nawe niliona ile post yako ya matusi nikaiacha tu

Ila mngekuwa mnajiuliza licha ya mimi kutotoa matusi kwanini hamnioni kutumia majina machafu kuwaita (kinyesi) kama ambavyo wengine wanawaita mngejifunza namna ya ku filter maneno.
 
Well said
 
Kuna furaha nje ya siasa

Nje ya siasa Sisi sote ni Wananchi yaani Yanga

Hongereni wanasiasa niliowataja hapo juu Wana Yanga kindakindaki

Pole kwake Dr Kigwangalla na Zitto Kabwe kwa kichapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…