FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Kabisa hapa nimekuelewa mtani, si vizuri kutumia lugha mbaya/matusi.
Vipi umeamkaje lakini?
 
Kuna wanaSimba wanamlamu Matola kuwa ndio kasababisha Simba kufungwa. Kivipi? Binafsi Sio mantiki yoyote. Matola ni kocha msaidizi wa Simba, hawezi kuwajibika moja kwa moja binafsi kwa matokeo ya Simba uwanjani. Kufungwa au kushinda kwa timu, ni matokeo ya kuwajibika kwa kocha mkuu. Kama Simba jana tulikuwa duni kiufundi basi lawama ziende kwanza kwa Kocha Mkuu.
 
Wana kelele sana ilhali timu lao bovu….

Wakaenda na Kambini Misri kucheza na Madereva Taxi lakini wapi…..
 
Wakafanya na kikao kabla ya Mechi lakini hola…..Chupli chupli bana
 

Attachments

  • 1C88759C-F5AE-4985-B603-7CF745A0A837.jpeg
    46.1 KB · Views: 9
Ondoa hapo, Yanga hana tatizo la kiungo wa chini wala juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…