Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki la utopoloIla huyu Inonga aache sifa za kijinga anaweza kutucost game kubwa kama zile za CAF.
Binafsi nalaumu sisi mashabiki, tunashangilia mchezaji akifanya mambo ya kipuuzi yasiyo na faida kwa timu.
Ameshapata fame anacheza na jukwaa sasa sehemu za kutoa pasi yeye ana turnKina sifa fulani za kisenge zisizo hata na tija mi hua kinaniboa hapo tu
TusubiriHuyo sakho atafunga goli lenu pekee, huku wanachi tukitoka kifua mbele.
Aonywe haraka sana tena kipindi cha pili anatakiwa kuwa makini zaidiAmeshapata fame anacheza na jukwaa sasa sehemu za kutoa pasi yeye ana turn
Huyu ni msng sometmes tunavyokipa sifa ndio tunazidi kukiharibuIla huyu Inonga aache sifa za kijinga anaweza kutucost game kubwa kama zile za CAF.
Binafsi nalaumu sisi mashabiki, tunashangilia mchezaji akifanya mambo ya kipuuzi yasiyo na faida kwa timu.
Hata mim ameniboa sana, anacheza na jukwaa, ajifunze kwa Mohammed jamaa yupo makin sanaIla huyu Inonga aache sifa za kijinga anaweza kutucost game kubwa kama zile za CAF.
Binafsi nalaumu sisi mashabiki, tunashangilia mchezaji akifanya mambo ya kipuuzi yasiyo na faida kwa timu.
Vipi si mlikuwa mnatambaUmeanza tayari kuchafua uzi. Kuna baba na mama zako humu.
kwa nini unasema kukamiwa,yeye ni sehemu ya mchezo,au ulitaka asikabwe?Am very sorry! Ila kiukweli Mayele ni mchezaji rahisi sana kukamiwa na mabeki.
HahahMdaka mishale alikutana na hii akaona isiwe tabu
View attachment 2323161
Hao jamaa unaowazarau hadi sasa kipindi cha kwanza wamecheza vizuri.ngoja tusubiri kipindi cha pili.Watani wakishinda hii mechi tusilaumu wamebahatisha ,wana Morison ,Aziz K ,Bangala ,Aucho, Djuma ,Feisal ,Mayele ,unaona wamekamilika halafu unawapanga Kanuti na Israel Mwenda,... Rubbish ,Kipindi cha kwanza striker ni Kibu tu
Timu zote zimeshaingia uwanjani.
Mchezo umeanza
01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa.
11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni
15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama
19' 🟨Aucho anapewa kadi ya njano
22' Kona ya kwanza ya mchezo inachongwa na Yanga, almanusura Aziz Ki aweke uwanja sawa
23' Inonga anamjaribu Diarra kutoka nje ya 18 lakini anakuwa makini na kuupangua nje
24' Mohammed Hussein anachonga kona ya kwanza ya Simba, mpira unakosa manufaa
33' Feisal anaenda chini baada ya kukwatuana na Mkude, free kick ya Yanga inashindwa kuleta matokeo kwa kuleta offside
37' Simba wanapata freekick nje kidogo ya 18, Kanoute anajaribu kuunganisha krosi ya Chama lakini Diarra yuko makini.
42' Mlinda mlango wa Simba yuko chini akitibiwa maumivu ya misuli
45+1' Inonga anainua kiatu juu ya Sureboy, inapulizwa filimbi na zogo linatokea
45+4' 🟨Sureboy anapewa kadi ya njano kwa kumletea ubabe Inonga
45+4' 🟨Inonga anapewa kadi ya njano kwa kumchezea ndivyo sivyo Abubakar Sureboy
=========
Tarehe imewadia.
Klabu mbili kubwa hapa nchini zinaenda kukiwasha uwanja wa Mkapa Dar es salaam.
Ikumbukwe kwamba mwaka jana walipokutana kwenye ngao ya jamii Yanga alipata ushindi wa goli moja lililofungwa na Fiston Mayele.
Je, mnyama mkali atalipiza kisasi au Yanga ataendeleza ubabe? Tutakuwa hapa kupeana taarifa.
Mchezo utaanza saa moja kamili jioni.
=============
Timu zote zimeshawasili Uwanja wa Mkapa.
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Yanga cha leo
Timu zilipokuwa zikiingia uwanjani mapema leo:
Lapili nini?Goooh;Simba,Simba,Simba hakuna cha Mayele.