Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sawaLile goal ni clear kabisa, dogo kafunga goli la kiwango sana aiseeeh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaLile goal ni clear kabisa, dogo kafunga goli la kiwango sana aiseeeh.
Unazijua offside wewe? Acha ushabiki, hamna offside pale.
HATIMAYE 2-1Ni kama offsideni kma bao!
NA NDILO MLILOSTAHILIHilo hilo lnatutosha
Hii Comment kila siku naiwaza, hivi midomo haikukauka.??Nikikumbuka Okwa, Okrah, na Akpan wanaingia kipindi cha pili, najilamba mdomo tu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Comment kila siku naiwaza, hivi midomo haikukauka.??
Ni kweliAnaeshinda hii Ngao ya jamii ndiye atakeshinda kombe la ligi msimu huu.
Huu sio utabiri, ni fact.
Ukimuuliza hii Atakataa kwamba sio kweli alikosea.Ni kweli
Wakigongwa wanakuwaga wapole na wadogo Kama piltonUkimuuliza hii Atakataa kwamba sio kweli alikosea.
Leo ni leooo.Mbumbumbu mkiwa mnashangilia mkumbuke na hii