FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Wameshakula kimoja
 
Unazani ni kupindua matako?
Sisi ndo wazee wa hizi mambo. Uliza kaka Yako mbumbumbu fc atakuambia. Subili uone mpira tutaokupigia Cha pili maji mtaita maaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtakuja kujua muda ukiisha, kupoteza points 3 kwenye hii ligi ya sasa ni kujiandalia pressure tu.
Kwa kikosi hiki cha leo, tukijitahidi basi ni sare. Kocha amepanga kikosi cha kidwanzi. Amewadharau sana Azam! Na wakati wana kikosi bora sana msimu huu.
 
Azam wamecheza foul wachezaji wa Yanga wamemzonga refa wakitaka wampe kadi mchezaji wa Azam

Refa kagoma kutoa kadi, ingekuwa ni Simba hapo ungesikia inabebwa na TFF
 
Good analysis

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Azam wamecheza foul wachezaji wa Yanga wamemzonga refa wakitaka wampe kadi mchezaji wa Azam

Refa kagoma kutoa kadi, ingekuwa ni Simba hapo ungesikia inabebwa na TFF
Refa kazingua kweli ile ilikua Foul kabisaaa
 
Yanga wanashambulia lakini golikipa wa Azam anasimama imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…