FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Kuna baadhi ya kauli ukiona mtu anapendelea sana kuzitumia, unajua kabisa ni fukara wa kiuchumi na akili.

Kwa hizi akili zenye kutoa hizi kauli, nani anayeweza kufikiria kuwa una familia inayokutegemea?
Kuna koment nilishawahi kuongelea hili. Mpira usitufanye wehu
 
Acha nyege
 
Unbeaten leo lango lao limefumuliwa mara 2 na wauza ice cream kwa aibu kabisa
 
Wakaka wa humu usione wadada tunaoshabikia mpira humu kwamba labda tuna nyege ni ushabiki tumeanza toka wadogo tuna miaka 7 wengine tumekuta wazazi ni washabiki Simba ile wakifungwa ukipita karibu yake unaweza kupigwa konzi.

Hivyo tuheshimiane sijawahi kukufata nikakwambia nina nyege nitoe au la. Huu ushabiki sijaanza leo so kwa mnaoniattack kwa kunitusi tegemeeni matusi hayo yatawarudia.

Nitukane mbumbu kama ss tunavyowaita hamna akili etc. Lakini hata ningekua na Nyege wewe ulienambia huna hadhi ya kunitoa.
 
Beki za yanga zinakaba kwa macho ni waganga tu ndo wanasaidia hii team ila hamna team pale bila mbeleko za refa leo karia angetukanwa sana.
Kipre junior ni nyoko
 
Shoga uyo atakuchosha
 
Kuna baadhi ya kauli ukiona mtu anapendelea sana kuzitumia, unajua kabisa ni fukara wa kiuchumi na akili.

Kwa hizi akili zenye kutoa hizi kauli, nani anayeweza kufikiria kuwa una familia inayokutegemea?
Pia ni shoga
 
Tell her
 
Kaka mpira hesabu, na sio matokeo ya mechi moja ndio yakakufanya ukatoa pesa zote hadi kwenye kidosho ili mradi tu umsajili, kisa umeona kamfunga Simba...
Aziz kii bado sana hajaonyesha thamani ya pesa aliyonunuliwa huo ndio ukweli ambao wana yanga wengi hatutaki kuukubali
 
Usiseme wakaka wa humu, bali sema vivulana vya Uto visivyo na akili.

Halafu vinanuka vikwapa tu Shenzi zao!
 
Wewe niache bwana unaniqoute qoute nini wewe?.wewe ndo unaujua sasa?.au na ww ndo walewale kudakia dakia bora mm naonyesha uhalisia pale napotaka kujua nimeuliza unbeaten ndo nini?...
Si ndio bora utulie kuliko kuleta argue za vitu usivyovijua πŸ˜‚
 
Kuna baadhi ya kauli ukiona mtu anapendelea sana kuzitumia, unajua kabisa ni fukara wa kiuchumi na akili.

Kwa hizi akili zenye kutoa hizi kauli, nani anayeweza kufikiria kuwa una familia inayokutegemea?
Umeangalia niliyomquote kauli aliyotoa,kwa taarifa yako mimi si fukara naweza kukupa ajira wewe na familia na mkaendesha maisha yenu kwa kupitia mshahara nitakaowalipa,humu atujuani vizuri kuheshimiana mtu akileta kujifanya anajua kutukana ategemee na yeye atatukanwa kauli za staha na kistaarabu ndio zinazotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…