FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Azam ni timu ya ajabu sana, wana kila kitu lakini matokeo yao ni ya hovyo sana
 
Kipigo au Droo kwa Yanga Sc ni faida kwa Simba Sc.
 
Azizi ki alipiga mkwaju wa hatari
 
Azam wanapaswa kuweka umakini eneo la kusini alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…