FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Hizi dakika za mwishoni kipindi cha kwanza Yanga wamepiga pasi dana
 
Huku Aliko Enda Morrison Anafanya Azizi Ki Asionekane
Na ndio maana Azizi Ki akipata fursa ya kuwa na mpira ni kufumua shuti haijalishi umemkutia wapi, hata kama yupo katikati ya uwanja
 
Mayele ni mtu sema
Honestly from a simba fan

Kuna shuti kapiga hapa ghafla sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…