FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Dube amekisa goli la wazi hapa
 
Mamamamamamamama
Unaguswa mpira hapa **** timu yenye jezi za kijani wanapigiwa through pass

No interception
 
Azam wanaongoza bao Moja, kipindi cha pili Wananchi tunakuja kupindua matokeo kama kawaida yetu
 
Gemu kali....

Azam wapo vizuri... Huyu Bajana ni mtu na nusu... Japo nawapa Uto nafasi ya kushinda...
 
Azam Wasichambur wachezaji walio Cheza Nao Wachambue walio Bench Akina Feisal na Sure Boy
 
Azam wana wachezaji wazuri sijui huwa wanakwama wapi?
 
Leo mnapasuliwa kinyama
Kocha Nabi naye kuna wakati mawenge yanampanda kichwani. Mechi ya leo hakutakiwa kuwaanzisha Bigirimana, Morrison na Nkane kwa wakati mmoja.

Hawa siyo wakabaji! Kiungo kimekufa kwa sababu tu ya upangaji mbovu wa timu. Kipindi cha pili Sure Boy, na Fei Toto waingie kuongeza mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…