mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Hatujamalidhaaaaa [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu.Sijawahi kumdharau huyu golikipa. Na hata CV yake tu huwezi kumlinganisha na mlinda mlango yeyote yule kwenye ligi yetu.
Dakika yangapi mzee???[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]Yanga wanachomoa goli hapa kwa feisal
Diarra ndio kipa, tunajua[emoji23]Kipa shati tu hili, ubungo -Mbagala goli
Vyovyote iwavyo ila lazima tushinde tuuuYANGA: Nibebe nibeebe, nibembeleze nibeebe
REFA: Nimekubeba mara mbili hadi naona aibu!!! Naona leo haubebeki!!
YANGA: Jitahidi tena mbeleko ya tatu!
REFA: Ngoja nione kama nitaweza kujitoa ufahamu kwa mara nyingine, bahasha hizi zitatupeleka pabaya!!
Hapana ngoma iendeleeRefa maliza mpira nasinzia
Wengi hufungwa kwa kushtukizwa, hasa mchezaji anapoamua kupiga sehemu ambayo hutegemei kama atapiga, ni kawaida kabisa.Hamna goalkeeper