ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hivi hii Zalan ni timu kweli au ni vivuli vinacheza jamani
Naona unajipa kazi kutabiri ya mbele na kurahisishia ya mbele Yanga lazima aingie makundi,23 Oct nakupasua.Wewe ionee huruma timu unayo ishangilia ina hali mbaya.Zalan Historia Yao Ukisoma Hutashangaa kilicho Tokea, Ndio Maana Waliamua Kuja Tanzania, Hata Hoteli Walio Fikia Ni Shida.
Kama Yanga Wanatoka Kipindi Kizima Bila Goli basi Safari yao Mbele itakuwa Ngumu sanaa
Hii timu mbona kipindi cha pili ndio wanafungwa?Naona unajipa kazi kutabiri ya mbele na kurahisishia ya mbele Yanga lazima aingie makundi. Wewe ionee huruma timu unayo ishangilia ina hali mbaya.
Ni Mayele tu hana mshipa wa aibuNimeona hata Stephanie kafunga hajafurahi kabisa.
Nilichogundua wale Zalan wana unyafuzi
Yote si magoli au ya kipindi cha kwamza goli moja sawa na mawili.Nakushauri ndugu yangu na mashabiki wa Makolo msiangalie mechi za Yanga mtaumia kwani matokeo mnayo ya tamani haya tokei kuweni wavumilivu.Hii timu mbona kipindi cha pili ndio wanafungwa?
Dua la kukuHii ndio mechi ya mwisho Yanga kutoka uwanjani wakiwa wanafurahi, baada ya hapo ni maumivu tuu
Yanga haiwezi kuingia hatua ya makundi!Yote si magoli au ya kipindi cha kwamza goli moja sawa na mawili.Nakushauri ndugu yangu na mashabiki wa Makolo msiangalie mechi za Yanga mtaumia kwani matokeo mnayo ya tamani haya tokei kuweni wavumilivu.
Unataka kuwa waoUtopolo wamecheza mechi za ndani, bado hawajacheza mechi yeyote ya kimataifa.
Kwan wewe Mayele kakuweka ngao?Hivi hii Zalan ni timu kweli au ni vivuli vinacheza jamani
Jipe moyo ila makundi msimu huu lazima. Wewe ionee huruma timu yako juzi kakosekana Kanoute, Mkude na Mzamiru wanashindana kupiga back pass,timu huna wewe.Yanga haiwezi kuingia hatua ya makundi!
Mmeanza waganga waekienyejiZalan Historia Yao Ukisoma Hutashangaa kilicho Tokea, Ndio Maana Waliamua Kuja Tanzania, Hata Hoteli Walio Fikia Ni Shida.
Kama Yanga Wanatoka Kipindi Kizima Bila Goli basi Safari yao Mbele itakuwa Ngumu sanaa
Juzi tu hapo mmepapaswa na team kutoka DjiboutiHivi hii Zalan ni timu kweli au ni vivuli vinacheza jamani
Toka 1998 Yanga haijaingia hatua ya makundi aisee!Jipe moyo ila makundi msimu huu lazima. Wewe ionee huruma timu yako juzi kakosekana Kanoute, Mkude na Mzamiru wanashindana kupiga back pass,timu huna wewe.
Msimu kuwa mvumilivu unapo tizama mechi za Yanga kwani ushindi kwetu ni lazima.
Kumbe unaishi kwa historia, kaa hivyo mimi kwa quality ya wachezaji wangu naingia makundi hiyo must,wewe msimu unaweza husitoboe hata makundi.Toka 1998 Yanga haijaingia hatua ya makundi aisee!
Hata Simba ilifungwa kipindi cha piliHii timu mbona kipindi cha pili ndio wanafungwa?
Yanga kuingia makundi itakua ni story ya mjini ila Simba kuingia makundi ni kawaida!Kumbe unaishi kwa historia, kaa hivyo mimi kwa quality ya wachezaji wangu naingia makundi hiyo must,wewe msimu unaweza husitoboe hata makundi.