FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Zalan ni mbovu ila Yanga ndio mbovu zaidi

Aziz Ki ye na kipa kakosa

Mayele kakosa magoli zaidi ya manne

Yanga wangekutana na hii timu ambayo inacheza na Geita nadhani tungekuwa tunaongea habari nyingine
Aziz ki bila kipa mkuu kipa alikua hayupo golini
 
Back
Top Bottom