FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Kwa kukosa magoli hukuu!! Hakuna mahali tutafika.

Au ndumba nini!??
 
Huyu Aziz Ki mwanzo kapiga shuti la pembeni, nikapata wazo TFF waongeze upana wa goli ili walau mwana afunge

Saizi nastukia tena kumuona akipiga juu ya lango kumaanisha kwamba sio upana tu ambao unatakiwa kuongezwa ili afunge bali na urefu pia uzingatiwe
 
Uzi unamashabiki wa makolo zaidi ya Wananchi wenye timu yao!
 
Yaani pale aziz alikuwa na sababu gani kupiga mpira kwa nguvu vile. mpira wa kusukuma tu kidogo.
Hakuna kitu kibaya kwenye team kama ubinafsi

Mayele naye kuna kipande alikuwa anatoa assist lakini kwasababu ya tamaa akapiga shuti kubwa ambalo halikuweza kuingia golini na mwisho wa siku ule mpira hata Joyce hakuweza kuudhibiti kutokana na speed yake wakati angetoa pasi kwa Joyce kulikuwa na uwezokano wa kuzaa goli

Hii mechi Yanga angekutana na huyu mpinzani anayecheza naye Geita sijui Yanga wangekuwa katika hali gani
 
Mayele atolewe tu. Sisi Utopolo tuna kikosi kipana cha wacongo
 
Tatizo ninaloliona hapa ni dhahir hawa jirani zetu wameshafanya mambo yao ya nguvu za giza....straikers wetu leo hawalioni goli?...this is an incredible

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yanga wanachezea nafasi nyingi namna hii tena kwa vibonde Zalan huko mbele kwa timu ngumu kupata chance hivi ni ngumu mno,wajitafakari.
 
Uzi unamashabiki wa makolo zaidi ya Wananchi wenye timu yao!
Yanga wanamkosa mtu kama chama kwenye mechi ya leo the football brain aziz ki mmepigwa mchana kweupe kwanza hana utulivu kabisa.
 
yaani hata wangetumia chamazi uwanja usingejaa
 
Back
Top Bottom