FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Yanga wanashambulia Kwa Kasi sana kiungo mwenye spidi ya konokono Clautus Chama hawezi kuwa na tija Kwa Yanga. Ata Morocco kilicho mshinda ni spidi na soka la kisasa ni spidi.
 
Feisal inavyoonekana ana amini sana kwenye bahati
 
Wayaaaaa!!! Ila uchawi upoo...hawa jamaa sina imani nao kabisa
 
Goli la Mayele lina indications za offside
 
Back
Top Bottom