FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Nabi kama mjanja amfanyie Sub Mayele atoke maana alichokuwa anakitaka amekipata

Hizi rough anazochezwwa zinaweza kumgharimu kwenye mechi zijazo, hususani huyu ndiye mchezaji tegemezi kwenye kikosi chake
Tunataka awe top scorer wa hii ligi kwahyo wamuache
 
Hesabu zinaanzia hatua ya pili, huku mnajichosha tu

Hatua ya pili hata akigongesha mwamba tu lazima muiandike hiyo kwenye rekodi maana kule kuna vibopa wenye njaa sio wachovu kama hawa Zalan
Wangekuwa wachovu wasingekuwa champions league
 
Back
Top Bottom